26 C
Zanzibar
Friday, June 5, 2020
Home Tags I.T

Tag: I.T

IT

IT awaandikia ujumbe kupitia Instagram chama cha wasanii Zanzibar (Z.F.U)

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Iddi Thabit a.k.a IT baada ya kujitoa katika chama cha wasanii wa muziki kizazi kipya Zanzibar (Z.F.U) hivi...
umejivuruga

I.T atangaza rasmi kujivua uanachama wa Chama cha wasanii Zanzibar (Z.F.U)

1
Msanii mkongwe wa muziki wa Zenji Fleva,Iddi Thabit (I.T) ambaye pia alikuwa kiongozi wa nidhamu katika chama hicho, Jumapili hii ametangaza rasmi kujivua uanachama...
bonanza

I.T kuandaa Bonanza maalum kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima na wazee

0
Msanii I.T kwa mara ya kwanza ameandaa bonanza ambalo kalipa jina la 'Uzalendo' kwa ajili ya kuwasaidia watoto yatima na wazee ambalo litafanyika katika...
ugomvi

Smile na I.T waamua kuzungumza kuhusiana na ugomvi uliokuwepo kati yao

0
Kwa mbio za wasanii wa Zanzibar na mwendo wanaoenda nao hivi sasa muziki wa Zanzibar unaweza ukaelekea pahala sio pazuri. Ugomvi kati ya msanii na...
I.T

Kuna jambo gani linaendelea kati ya I.T na Smile?

0
Kwa siku hivi karibuni wasanii wawili I.T na Smile wameonekana wakitambiana kwenye mitandao na ikafikia hatua mpaka mashabiki kujiuliza ni kitu kilichosababisha ugomvi wao. Kuna...

New Video: I.T – Ushanivuruga

0
Baada ya kufanya vizuri na wimbo wake 'Ushanivuruga' msanii I.T ameachia video yake. Video imetayarishwa na Director Lucky. https://youtu.be/fHqsGcpHCyc
umejivuruga

Audio: Povu kali lamtiririka I.T baada ya kujibiwa ‘Umejivuruga’

0
Baada ya mwanadada Faay Baby kuujibu wimbo wa 'Umejivuruga' wa msanii wa Iddi Thabit maarufu I.T amefunguka na kuyasema ya kwake. Akizungumza kwa njia ya...
ushanivurga

New Music: I.T – Ushanivuruga

0
Msanii wa Zenji Fleva I.T ameachia wimbo wake mpya 'Ushanivuruga'. Wimbo umetengenezwa katika studio za MK Records Sikiliza Hapa  
wachanga

‘Wasanii wachanga lazima wawaheshimu wakongwe’ – I.T

0
Msanii wa Kizazi kipya kutoka Zanzibar Iddi Thabit 'I.T' amelilalamikia tatizo la wasanii wachanga ambao ndio wanaanza katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya...
bado

New Music: I.T – Bado Navumilia

0
Msanii wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar Iddy Thabit au I.T, ameachia wimbo wake mpya 'Bado Navumilia' baada ya kukaa kimya muda mrefu. Wimbo...
muziki

‘Kimya changu katika muziki ni kutokana na kubanwa kwa masomo’ – I.T

0
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar, Iddy Thabit El Maamiry maarufu kama I.T amerudi tena na wimbo mpya baada ya kukaa kimya...

Follow Us

2,318FansLike
1,102FollowersFollow
106FollowersFollow
578SubscribersSubscribe
Advertisement