Categories
Videos

New Video: Hemedy Music – Mama Mkwe

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Hemedy Music ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Mama Mkwe”. Video imetayarishwa na studio za ZanziPix.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.

Categories
Music

New Music: Muslee ft. Hemedy Music – Chaunabe

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya anaitwa Muslee, wimbo unaitwa “Chaunabe” akiwa amemshirikisha Hemedy Music. Wimbo umetayarishwa katika studio za Action Music na producer Chilly K.

Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako.

 

Categories
Music

New Music: Hemedy Music -Kaning’ang’ania

Hemedy Music baada ya kutambulisha video yake mpya. Huu hapa ni wimbo wake huo mpya unaitwa “Kaning’ang’ania”. Wimbo umetayarishwa na producer Stoppa kutokea MK Records.

Sikiliza hapa na utoe maoni yako.

 

Categories
Videos

New Video: Hemedy Music – Kaning’ang’ania

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutokea visiwani Zanzibar Hemedy Music ameachia video mpya “Kaning’ang’ania”. Video imetayarishwa na Director Juhudi.

Categories
Music

New Music: Wise Boy ft. Hemedy Music – Usiniumize

Msanii Wise Boy ameachia wimbo wake mpya ‘ Usiniumize’ akiwa ameshirikiana na Hemedy Music. Wimbo umetengenezwa katika studio za MK Records na producer MK.