Tag: Fid Q
New Music: Fid Q ft. Rosa Ree – Korasi
Wimbo mpya kutoka rapa Fid Q akiwa amemshirikisha Rosa Ree, wimbo unaitwa "Korasi". Wimbo umetayarishwa na producer Dunga katika studio za MJ Records.
Sikiliza wimbo...
Fid Q atoa sababu ya kuvaa koti lililochanika katika video yake mpya
Msanii Fid Q ambaye ni rapa wa hapa Bongo kutoka pande za Rock City/Mwanza, ametoa sababu iliyomfanya akavaa koti lililochanika kwenye video yake mpya,...
New Video: Fid Q ft. Christian Bella – Roho
Rapa Fid Q ameachia video ya wimbo wake mpya 'Roho' akiwa amemshirikisha mkali wa masauti Christian Bella.
https://www.youtube.com/watch?v=csOKzWhvjkw
New Music: Fid Q – Sumu
Agosti 13 ilikuwa ndio siku ya msanii Fid Q aliyozaliwa na kwa kusheherekea siku yake ameachia wimbo mpya unaitwa 'SUMU'.
[soundcloud url="https://api.soundcloud.com/tracks/278016364" params="auto_play=false&hide_related=false&show_comments=true&show_user=true&show_reposts=false&visual=true" width="100%" height="450"...