26 C
Zanzibar
Sunday, July 21, 2019
Home Tags Diamond platnumz

Tag: diamond platnumz

New Music: Diamond Platnumz – Kanyaga

Wimbo mpya kutoka kwa Diamond Platnumz unaitwa "Kanyaga". Wimbo umetayarishwa na producer S2Kizzy. Sikiliza wimbo huo na utoe maoni yako  

New Music: Diamond Platnumz – Eneka

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond anaendelea mfululizo wake wa kuachia wimbo baada ya wimbo. Baada ya kuachia wimbo wake mpya 'Eneka' wimbo...
diamond

Ujumbe mfupi wa Diamond aliomwandikia Zari

Familia ya Nassib Abdul a.k.a Diamond Platnumz inapitia kipindi kigumu kwa sasa baada ya kifo cha aliyekuwa Ex wa Zari, Ivan ambapo imemfanya Diamond...

New Video: Diamond Platnumz ft. Ne-Yo – Marry You

Msanii Diamond Platnumz baada ya kilio cha muda mrefu, ameachia video ya wimbo wake 'Marry You' aliyoshirikiana na NeYo. https://youtu.be/QdOaBtUvH80

New Video: Rich Mavoko ft. Diamond Platnumz – Kokoro

Rich Mavoko ameachia video ya wimbo aliomshirikisha bosi wake, Diamond Platnumz ‘Kokoro.’ Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Abydad na Lizer. Itazame hapo chini. https://youtu.be/Pouc1n__1HI
rich mavoko

New Music: Rich Mavoko ft. Diamond – Kokoro

Rich Mavoko ameachia wimbo wake mpya  aliomshirikisha Diamond Platnumz ‘Kokoro.’ Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Abydad na Lizer.  
diamond

Diamond azungumzia kuhusiana na Collabo na Jay Dee

Baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa mashabiki waliotamani kuona Diamond Platnumz na mwanadada Lady Jay Dee wakifanya kazi pamoja, wakali hao wa...
afrimma

Hii hapa ni orodha ya washindi wa tuzo za AFRIMMA

Utoaji wa tuzo za AFRIMMA kwa mwaka 2016 umefanyika Dallas, Marekani huku watanzania watatu, Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D Ommy wakiibuka na tuzo...
diamond

Video: Aliyetobolewa macho alia baada ya kusikia wimbo wa Salome kwani hajawahi kuiona video...

Ndugu Said Ally ambaye hivi karibuni lilimkuta janga la kutobolewa macho na Scorpion alijikuta anashindwa kuvumilia na kuanza kulia baada kuusikia wimbo Diamond 'Salome'. Akiwa...
diamond

Saida Karoli atamani kufanya kazi na Diamond

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amesema msanii Saida Kalori alimwambia kwamba anatamani kufanya naye kazi. Diamond ameyasema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha FNL cha...

Video: Diamond Platnumz Ft. Rayvanny Salome (Traditional)

Msanii Diamond Platnumz ameamua kuachia video mpya ya wimbo ‘Salome’ amemshirikisha Rayvanny, Video imefanyika hapahapa Tanzania, imeongozwa na Director Nicorux kutoka South Africa. https://youtu.be/_bPjsDcPHks  
mafikizolo

(Picha): Diamond na Mafikizolo katika Tamasha la Vodacom Chuo Kikuu Dodoma

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu katika Tamasha lililoandaliwa na Mtandao wa...
video

New Video: Mafikizolo ft. Diamond& Dj Maphorisa – Colors of Africa

Hatimaye ile video ya wimbo uliyokuwa unasubiriwq kwa muda mrefu sasa ipo mitandao unaweza  kuangalia video ya wimbo wa Mafikizolo waliomshirikisha Diamond na Dj...

Diamond Platnumz atajwa kuwania tuzo ya ACI-AWARDS nchini Marekani

Mtanzania Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za African Culture Image (ACI) Awards zinazofanyika kuwatunza waafrika popote walipo duniani. Diamond ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki...
video

Video: Harmonize ft. Diamond Platnumz – Bado

Video mpya ya msanii Harmonize kutoka Wasafi Classic amemshirikisha Boss wake Diamond Platnumz wimbo unaitwa “Bado”
video

Video: AKA & Diamond Platnumz – Make Me Sing

Ahadi ni Deni... Siku za hivi karibuni Diamond Platnumz aliwaahidi mashabiki wake wimbo mpya 'Make Me Sing' ambao amefanya na rapper kutoka bondeni 'Afrika...
Diamond

Diamond ashinda tuzo nyingine

Mmiliki wa hit song ya ‘Utanipenda‘ Diamond Platnumz amezidi kuziandika headline katika ulimwengu wa sanaa baada ya usiku wa leo kuzinyakua tuzo mbili za...

Follow Us

2,277FansLike
1,112FollowersFollow
106FollowersFollow
465SubscribersSubscribe
Advertisement