Categories
Music

New Music: Christian Bella ft. AY & Mwana FA – Pete

Wimbo mpya kutoka kwa Christian Bella akiwa amemshirikisha AY na Mwana FA, wimbo unaitwa “Pete”.

Sikiliza wimbo na utoe maoni yako.

 

Categories
Videos

New Video: Christian Bella Ft Khaligraph Jones – Holla

Mkali wa muziki wa Dance hapa Tanzania Christian Bella, ameachia video mpya wimbo unaitwa “Hollah” amemshirikisha rapper kutoka Kenya Khaligraph Jones, Video imeongozwa na Hanscana.

 

Categories
Videos

New Video: Fid Q ft. Christian Bella – Roho

Rapa Fid Q ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Roho’ akiwa amemshirikisha mkali wa masauti Christian Bella.

 

Categories
Videos

New Video: Christian Bella – Nishike

Mfalme wa masauti Christian Bella baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Nashindwa’, Ijumaa hii ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Nishike’.