29 C
Zanzibar
Sunday, February 23, 2020
Home Tags Chidy Yobo

Tag: Chidy Yobo

New Music: Chidy Yobo ft. Fany – Kede Kede

0
Baada ya kimya kirefu huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Chidy Yobo unaitwa "Kede Kede" akiwa amemshirikisha Fany. Sikiliza wimbo huo na utoe maoni...
Chidy Yobo

New Music: Chidy Yobo – Ola

0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chidy Yobo ameachia wimbo wake mpya "Ola". Wimbo umetayarishwa na producer Flavor Noma katika studio za Smart Music. Sikiliza...
chidy yobo

New Music: Chidy Yobo – Nalia

0
Msanii wa muziki Chidy Yobo ameachia wimbo wake mpya "Nalia". Wimbo umetayarishwa katika studio za Smart Music na producer Flavour Noma. Sikiliza hapa  
chidy yobo

Uliiiona picha ya Chidy Yobo kutoboa Pua?!

0
Kwa siku kadhaa zilienea taarifa za mwimbaji katika tasnia ya Zenji Fleva kuonekana katoboa pua, hii habari imepewa nguvu kutokana na picha aliyoipost Chidy...
chidy yobo

Chidy Yobo asimulia jinsi kuachwa na mpenzi wake kulivyomfanya aachie wimbo wa ‘Unadunda’

0
Waimbaji wengi wazuri hutumia mambo halisi yanayotokea kwenye maisha yao kuandika nyimbo zao. Na kati ya hao waimbaji Chidy Yobo nae pia yalimkuta. "Mapenzi yalianzia shule...
chidy yobo

Exclusive: Whatsapp Chat na Chidy Yobo

0
Hivi karibuni kijana Chidy Yobo aliachia wimbo wake mpya wa 'Unadunda' na Zenji255 iliona imtafute msanii huyo kufanya nae mahojiano kupitia Whatsapp chat. Fuatilia...
chidy yobo

Ubuyu Umemwagika: Chidy Yobo na Sabra Kimamy, Mahaba Niue!

0
Waswahili wanasema lisemwalo lipo. Kwa siku za hivi karibuni msanii wa muziki wa kizazi kipya Zanzibar, Chidy Yobo na aliyekuwa AFZ - Miss Zanzibar 2014...
chidy yobo

New Music: Chidy Yobo – Unadunda

0
Msanii kutokea lebo ya GoodFather Music 'Chidy Yobo' ameachia wimbo wake mpya unaitwa 'Unadunda'. Wimbo umefanywa na producer Aloneym katika studio za Stone Town...
chidy

Msanii Chidy Yobo kufuata nyayo za Pozi Adimu

0
  Msanii chipukizi kutokea visiwani Zanzibar ambae anafanya vizuri kwa sasa, kwenye Radio na Televishen za visiwani humo, ameamua kufuata nyayo za Msanii mkongwe na...

Follow Us

2,319FansLike
1,111FollowersFollow
106FollowersFollow
578SubscribersSubscribe
Advertisement