25 C
Zanzibar
Monday, July 22, 2019
Home Tags Chaby Six

Tag: Chaby Six

chaby six

Chaby Six kutimiza miaka 8 kwenye muziki kiaina yake

Rapa kutoka visiwani Zanzibar, Chaby Six ambaye hivi karibuni anatarajia kufanya onyesho lake la kutimiza miaka 8 tangu uwepo wake katika saana ya muziki...

New Video: Chaby Six ft. Kijukuu – Tulizana

Rapa Chaby Six (Boyka) ameachia video ya wimbo wake mpya inayoitwa 'Tulizana' akiwa amemshirikisha Kijukuu. Video imetayarishwa na director Panther. Angalia hapa na utoe maoni...
chaby six

“Sikatai kufananishwa na msanii yoyote kikazi ila…” – Chaby Six

Rapa kutokea visiwani Zanzibar Chaby Six ametoa malalamiko yake juu ya watangazaji wa maredio na TV visiwani Zanzibar kuhusiana na kusema maneno yasiyo ya...
chaby six

Chaby Six Afiwa na Baba yake mzazi

Baba mzazi wa rapa kutoka visiwani Zanzibar Chaby Six Mashine, Mzee Mshimba, amefariki dunia Ijumaa hii. Akitoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake Facebook, Chaby Six...
chaby six

Chaby Six aamua kuingia studio kutengeneza wimbo mpya

Baada ya kukaa kimya cha muda mrefu kilichozidi mwaka mzima, rapa Chab Six Mashine ambaye kwa hivi sasa anafanya kazi peke yake ameamua kuingia...
Chaby six

Picha: Chaby Six afunga ndoa kimya kimya

Msanii wa muziki wa hip hop kutokea Mboriborini, Chaby Six amefunga ndoa kimya kimya na mpenzi wake wa muda mrefu ijumaa iliyopita (Jan 27). Rapa...
Zee town sojaz

New Music: Zee Town Sojaz ft. Ison, Chaby Six & Rico Single – Tatizo...

Kundi la muziki wa kizazi kipya Zanzibar, Zee Town Sojaz wameachia wimbo mpya 'Tatizo Nini' wakiwa wamewashirikisha Ison Mwanaharakati, Chaby Six na Rico Single....

Follow Us

2,277FansLike
1,112FollowersFollow
106FollowersFollow
465SubscribersSubscribe
Advertisement