24 C
Zanzibar
Friday, May 24, 2019
Home Tags Baby j

Tag: baby j

kassim mganga

Ukaribu wa Kassim Mganga na Baby J wawatia hofu mashabiki

Mkali kutokea Tanga, Kassim Mganga ameingia katika vichwa vya habari katika mitandao baada ya kuwa muonekano mpya kwenye ndevu zake kuwa nyeupe na vile...

New Video: Kassim Mganga ft. Baby J – Lea

Msanii wa muziki Kassim Mganga ameachia video ya wimbo mpya unaoitwa 'Lea' akiwa amemshirikisha Baby J. Video imetayarishwa na director Ivan. https://youtu.be/0uzTvNOIpiI  
baby j

“Imefikia wakati sasa wasanii wakongwe wa Zanzibar tuwasaidie vijana wapya mbinu za muziki” –...

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Baby J amewaomba wasanii wakongwe katika tasnia mbali mbali ya sanaa visiwani Zanzibar kuwa wamoja na kuwasaidia vijana...
baby j

Baby J kuzindua Foundation yake ya kuwasaidia wasanii wa muziki Zanzibar

Msanii wa muziki kutoka Zanzibar Baby J Machi 18 anatarajia kufanya party maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Foundation yake mpya ambayo itakuwa inajihusisha...

Video: DJ Waiz ft. Baby J & Kijukuu – Shobo Robo

Msanii wa Muziki kutoka Zanzibar DJ Waiz ameachia video yake mpya iitwayo 'Shobo Robo' akiwa amewashirikisha Baby J na Kijukuu. Video imeongozwa na director...
Dj Waiz

New Music: DJ Waiz ft. Baby J & Kijukuu Six – Shobo Robo

Hata kwenye  muziki pia anaweza! DJ Waiz kwa kipindi kirefu alikaa kimya bila kuachia wimbo na kuamua kujikita katika mambo ya mitindo ila sasa...
baby j

Baby J azungumzia kuhusu ukimya wake na mipango mipya ya kuwasaidia wasanii wa kike...

Ikiwa mwaka 2016 unaendea mwishoni kuna wasanii hupenda kuachia nyimbo za kufungia na kufungulia mwaka lakini kwa msanii wa kike Baby J imeonekana ni...
baby j

Baby J atoa maana ya yeye kuitwa mrithi wa Bi Kidude (+Audio)

Kama ulikuwa bado hujajua kwanini Baby J anajiita mrithi wa Bi Kidude, na katumia vigezo gani kujiita hivyo? Gumzo hilo liliibuka miezi kadhaa iliyopita baada...
baby j

‘Natamani siku moja niimbe na Yemi Alade’ – Baby J

Licha ya kushirikiana na wasanii mbalimbali wa muziki nchini, msanii wa muziki wa kizazi kipya visiwani Zanzibar, Jamilah Abdallah ‘Baby J’, ameweka wazi kwamba...
baby j

Wasanii wa kike Zanzibar wajitokeze tu wasikate tamaa – Baby J

Mwanadada anayefanya muziki wa Bongo Fleva akiwakilisha visiwa vya Zanzibar Baby J amesema sababu za wasanii wa kike kutoka visiwani Zanzibar kushindwa kufanya vizuri...
baby j

‘Nashangaa watu kusema kuwa mimi ni mjamzito ni kitu ambacho kinanishangaza’ – Baby J

Baby J ambaye muda mwingi yupo maskani yake Zanzibar amesema kuwa ukimya wake ndiyo umesababisha watu kuhusishwa kuwa ni mjamzito “Unajua kweli nimekuwa kimya lakini...
baby j

#TBT: Baby J ft Taqwa – Mapenzi ya Kweli (+Video)

Baby J, wengi humfaham kwa jina hilo. Lakini jina kamili la kuzaliwa anaitwa Jamila Abdallah Ally – ni mmoja ya wasanii kike wakongwe katika...
show

Picha: Wakushi, Baby J na Rico Single katika ‘live’ show

Kama ulipitwa na wikiendi iliyopita basi hii hapa nakusogezea karibu angalia jinsi show ya Wakushi, Baby J na Rico iliyofanyika Jambo Beach Bungalows, Paje. ...

Follow Us

2,252FansLike
1,121FollowersFollow
107FollowersFollow
441SubscribersSubscribe
Advertisement