25.9 C
Zanzibar
Tuesday, May 21, 2019
Home Tags Abramy

Tag: abramy

New Video: Abramy The Voice – Mwasi Kitoko

Msanii wa muziki Abramy The Voice ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Mwasi Kitoko'. Video imetayarishwa na Director Sam. Angalia hapo chini na utoe...
salome

Music: Smile & Abramy – Salome (Cover)

Wasani wa kizazi kipya Smile na Abramy wafanya cover ya wimbo wa Diamond Platnumz alioshirikiana na Rayvanny 'Salome'. Sikiliza hapa  
chilly k

‘Sihusiki katika kuvujisha wimbo wa Abramy aulizwe vizuri’ – Chilly K

Baada ya msanii Abramy kulalamika kuwa Producer wa Action Music kuvujisha wimbo wake mpya 'Nashindwa' ambao alitegemea kuuachia mwezi huu Novemba 20. Lakini katika kila...
abramy

Abramy amlaumu Producer Chilly K kwa kuvujisha wimbo wake

Msanii wa miondoko ya Zenji Fleva Abramy the Voice, ametoa lawama zake kwa Producer wa studio ya Action Music, Chilly K baada kuvujisha wimbo...
goodfather

Hili sasa ni ‘beef’ maradufu kati ya Good Father Entertainment na Abramy

Hivi karibuni kwa hali ya kushangaza msanii Abramy alionekana amepost katika mitandao ya kijamii maneno ya ugomvi kwa uongozi wa Good Father Music. Abramy aliandika...
goodfather

GoodFather Music huenda ikamsaini Abramy

GoodFather Music Entertainment kama inavyofahamika na wadau wengi wa burudani ni management ambayo iliasisiwa na mwanaharakati wa muziki kutoka visiwani Zanzibar anayefahamika kwa jina...
abramy

“Wimbo wa Hawalali umenipatia ‘Connection’ nyingi” – Abram The Voice

Na Mkali Nesta Msanii wa mziki wa kizazi kipya Zanzibar Abramy TheVoice amesema wimbo wake wa hawalali umempatia connection nyingi za ndani na nje ya...
classmate

Music: Classmate ft. Abramy – Dedication

Classmate msanii anayechipukia kutoka Zanzibar, wimbo wake mpya akiwa amemshikirisha Abramy. Wimbo umetengenezwa katika studio za Mandevu chini ya maproducer wawili Lummie na Buju....

Follow Us

2,252FansLike
1,122FollowersFollow
107FollowersFollow
437SubscribersSubscribe
Advertisement