I.T ajibiwa ‘Umejivuruga’ na Faay Baby baada ya wimbo wake ‘Ushanivuruga’ (+Music)

0

Msanii Faay Baby anatukaribisha kusikiliza wimbo wake mpya unaoitwa ‘Umejivuruga’. Wimbo huu umekuja ni baada msanii I.T kuachia wimbo wa ‘Ushanivuruga wiki kadhaa zilizopita na haijajulikana chanzo ni nini kati ya wawili hawa mpaka wakajibizana katika huo wimbo. Katika wimbo huo msanii Faay Baby ametumia mahadhi yale yale ya wimbo wa I.T na wimbo umetengenezwa katika studio ya MK Records.

Bonyeza ‘Play’ na uusikilize wimbo huo