Video: Siku yako ya leo imeenda vibaya? Cheka na mwalimu kutoka Thailand akifundisha Kiingereza

0
video

Inawezekana siku yako haijawa poa sana leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko kutokea Thailand ambapo mwalimu akiwafundisha wanafunzi wake lugha ya kiingereza na ndipo vituko vinapoanzia.