Siku 27 za Chidi Benz akiwa katika kituo cha Sober cha Bagamoyo (+Instagram Video)

0

Headlines za msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka Ilala, Rashid Makwilo aka Chid Benz zilichukua ukurasa kwenye mitandao mbalimbali za kujihusisha na madawa ya kulevya.

Sasa kama unakumbuka March 22, 2016 meneja wa Diamond Platnumz alimpeleka rapper huyo Sober House iliyopo Bagamoyo iitwayo Life and Hope Rehabilitation Centre kwaajili ya kupata matibabu ya kuacha kutumia madawa hayo na kurudi kwenye hali yake ya mwanzo.

Kupitia kwenye ukurasa wa msanii wa Hip Hop Kalapina ambaye anaendesha kipindi cha harakati cha kupinga utumiaji wa Madawa ya kulevya alipost video yenye sekunde 15 zikimuonesha Chid Benz baada ya kukaa Sober House siku 27 na kuandika…