‘Send My Love’ ya Adele kuonyeshwa katika tuzo za Billboard Mei 22

0

Video ya wimbo mpya wa Adele ‘Send My Love (To Your New Lover)’ inatarajiwa kuonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Billboard Music Awards, Mei 22.

Adele amekuwa kimya tangu mwaka jana alipoachia wimbo wake wa ‘Hello’ ambao umefanikiwa kufanya vizuri ulimwenguni na kushika namba moja kwenye chati za Billboard.

adeleWimbo huo ‘Send My Love (To Your New Lover)’ ni wa tatu kutoka kwenye albamu yake ya tatu ‘25’ aliyoiachia Novemba 20, 2015.

Video hiyo imeongozwa na Patrick Daughters.

Source: Bongo5