Picha: Zari ajifungua mtoto wa pili kwa Diamond Platnumz

0

Kimya kirefu kina mshindo, hatimaye Zari TheBoss Lady na Diamond Platnumz wabahatika kupata mtoto wao wa pili wa kiume.

zari

Mtoto huyo amezaliwa saa 10:35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6 katika hospitali ya Netcare ya Pretoria nchini Afrika ya Kusini. Diamond na Zari wameonesha picha za mtoto huyo japo hawajaweka sura yake na bado hawajasema wamemwita jina gani.

View this post on Instagram

06th Dec 2016 03: 35am SA time…… 04: 35am EAST Time…. 02: 35am WEST Time…. 01: 35 am NORTH Time, A NEW STAR WAS BORN in NETCARE HOSPITAL / PRETORIA / SOUTH AFRICA…. unfortunately his parents Dad & Mom haven't agreed on the name…. that's why it even took time, to his advent to be on his parent's Social media Pages….. Let's wait and See, what @zarithebosslady & @Diamondplatnumz will ended up call him… (Tareh 6/ 12/ 2016 saa kumi na dakika 35 Staa Mpya wa akiume alizaliwa katika hospitali ya NETCARE iliyopo mjini Pretoria / South Africa… kutokana na wazazi wake kutofikiana Muafaka wa mtoto aitwe jina gani, ilipelekea mtoto huyo kuchelewa kupostiwa kwenye Mitandao ya kijamii ya Wazazi wake…. tusubiri tuone @zarithebosslady na @DiamondPlatnumz wataishia kumpa jina gani Mtoto wao…✍ )

A post shared by Chibu Dangote..! (@diamondplatnumz) on