Picha: Zanzibar Yaadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani

0

Waziri wa Habari, Utalili, Utamaduni na Michezo Zanzibar Rashid Ali Juma amewataka  wananchi wa Zanzibar kutumia fursa ya  kutembelea Jengo la Makumbusho  ya Mnazimmoja ili kuelewa historia ya  utamaduni  wao. Ameyasema hayo katika Sherehe za ufunguzi wa maonesho ya kudumu ya sanaa katika maadhimisho ya  siku ya makumbusho dunuani yaliyofanyika  Makumbusho ya Mnazi mmoja  Mjini Zanzibar.

Angalia Picha za Ufunguzi huo.

S K 1 S K 2 S K 3 S K 4 S K 5 S K 6Chanzo:  Zanzinews