Picha: Usiku wa chura ulivyopagawisha wazanzibari Wikiendi hii

0

Msanii wa kike Snura aliweza kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofika katika Usiku wa chura uliofanyika kisiwani Zanzibar katika ukumbi wa Police Messi. Snura aliweza kuwakamata mashabiki siku hiyo na kuwachezesha ki ‘bob marley’. katika show hiyo iliyosindikizwa na uzinduzi wa video mpya ya wimbo Hafidh na Edo vile na kuipongeza timu ya Taifa Jan’gombe pamoja na kupambwa na wasanii mbali mbali akiwemo Rico Single, Mubacriss, Hemedy Music, Chaby Six na wengine wengi.

Angalia picha za show hiyo ilivyokuwa

IMG_6333 IMG_6364 IMG_6369 IMG_6376 IMG_6405 IMG_6449 IMG_6452 IMG_6471 IMG_6482 IMG_6486 IMG_6502 IMG_6521 IMG_6529 IMG_6548 IMG_6565 IMG_6583 IMG_6591 IMG_6616 IMG_6633 IMG_6654 IMG_6657 IMG_6660 IMG_6676