(+Picha): Ulikosa kuziona mechi za ligi kuu ya uigereza Wikiendi hii? Huu ndio msimamo mzima wa ligi hiyo kwa mechi zote zilizopita

0

Wikiendi imekwisha, waswahili wanasema tunaganga yajayo. Michuano ya ligi kuu ya Uingereza ilikuwa ikichezwa katika viwanja mbali mbali vya mipiri kuanzia siku ya jumamosi na kumalizia jumatatu huko nchini uingereza na kufanya baadhi ya timu kuonyeshana ubavu kwa kushinda au kutoka sare ya magoli na baadhi kuondoka uwanjani wakiwa wamefungwa. Ambapo katika ligi hiyo timu ya Leceister city inaonyesha ikiendelea kusimama kileleni kwa kuongoza ligi hiyo kwa point 73 mpaka sasa huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Tottenham wakiwa na point 68 baada ya kushinda mechi yao dhidi Stoke City goli 4-0. Nimekuwekea baadhi ya matokeo ya michuano hiyo ya Ligi Kuu hiyo pamoja na msimamo wa ligi kuu na wachezaji wanaoongoza kwa magoli katika ligi hiyo.

imageimage

image

image

Na hawa ndio wanaoongoza kwa magoli katika ligi hiyo.

image