Picha: Ufunguzi wa tawi jipya la benki ya Equity Bank

0

Waziri wa Ardhi Maji na Nishati na Mazingira Zanzibar, Mhe. Salama Aboud Talib jana Jumatano Feb 15 alifungua tawi jipya la benki ya Equity lililopo Mlandege visiwani Zanzibar.

Katika hafla hiyo ya uzinduzi wa tawi la benki hiyo, Mhe Salama alishuhudia kazi mbali mbali zikiwemo kazi za wajasiriamali waliofaidika na mikopo ya benki hiyo pamoja na kupewa maelekezo ya jinsi ya kufungua akaunti katika benki.

Angalia picha za uzinduzi huo