Picha: Ufunguzi wa Tamasha la sauti za Busara katika mnara wa kumbukumb, Kisonge

0

Tamasha la Sauti za Busara jana Alhamis (Feb.9) limefanya ufunguzi wake rasmi kwa kutoa burudani mbali mbali katika viwanja vya mnara wa kumbukumbu wa Kisonge, Zanzibar.

Ufunguzi huo ulipambwa na vikundi kutoka Burundi, Michael Jackson wa Zanzibar, Madancers, vikundi vya watoto na vinginevyo. Safari ya uzinduzi huo ilianza kutoka hapo mnarani na kuelekea Ngome Kongwe ambapo sehemu ya tamasha hili linapofayika.

Angalia picha hapo chini

Picha zote: Othman Maulid