Picha: Timu ya Nyuki yanyakua ubingwa wa Muungano Cup Zanzibar

0

Katika kuadhimisha siku ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye michezo wa mpira wa kikapu timu ya Nyuki ilifanikiwa kunyakua ubingwa wa michuano hiyo baada ya kuwalaza wapinzani wao Stone Town na kuwaacha katika nafasi ya pili. Ambapo kabla ya mchezo huo ilichezwa fainali ya wanawake kati ya JKT iliyoondoka katika viwanja vya Gymkhana kwa ubingwa upande wa wanawake na kuwafunga timu ya African Magic.

Angalia picha hapo chini