Picha: Pirika Pirika za sikukuu ya Eid katika mitaa ya Unguja

0

Baada ya mfungo wa siku 30 wa Ramadhan, waislamu mbali mbali duniani husherehekea sikukuu ya Eid kwa njia tofauti ambapo kwa visiwa vya Unguja na Pemba huwa kunafanyika sikukuu nne katika viwanja tofauti visiwani humo.

Mpiga picha wetu amepita katika mitaa mbali mbali ya Zanzibar na kukuta wananchi mbali mbali wakiwa katika manunuzi ya nguo na vitu vya watoto vya kuchezea

Angalia picha za matukio hayo hapo chini.