Picha: Pirika pirika za maandalizi ya futari soko la Darajani

0

Ikiwa ni siku ya 7 katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Mpiga picha katika pita pita zake aliona pirika pirika za wananchi wa Zanzibar wakiwa katika maandalizi ya kununua bidhaa mbali mbali kwa ajili ya futari katika soko la Darajani (Marikiti).

Angalia hapo chini