Picha: PBZ na BOT Zaadhimisha Miaka 50 ya Benki zao kwa Mchezo wa Kirafiki

0

Katika kuadhimisha miaka 50 ya Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ) na Benki kuu ya Tanzania (BOT). Benki hizo mbili zimeamua kucheza mechi ya kirafiki na kuonyeshana mabavu kati ya timu hizo mbili. Mechi hiyo ilifanyika katika uwanja wa Amani, Zanzibar.

DSC_0906 DSC_0911 DSC_0915 DSC_0917