Picha: Msami Baby alivyotoa burudani katika Full Moon Party, Zanzibar

0

Siku ya Jumamosi ya April, 23. Msanii anayefanya vizuri kutokea THT, Msami Baby alitoa burudani kwa mashabiki wake katika Full Moon Party iliyofanyika Kendwa Rocks, Nungwi. Katika onyesho hilo Msami alisindikizwa na kikundi cha sarakasi kutoka Zanzibar cha Jambo Brothers na wasanii wengine kutokea THT.

Angalia picha za show hiyo ya Msami

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image

image