Picha: Mechi kati ya Kikwajuni Juu na Kisimamajongoo kombe la Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni

0

Mechi iliyofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja iliwakutanisha Vijana kati ya Kikwajuni na Kisimamajongoo walichuana na kuonyeshana ubabe katika kombe lililoandaliwa na Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni Mhe. Naibu waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Hamad Masauni na mwakilishi wa jimbo hilo Mhe. Jazeera. Timu hizo mbili hazikuweza kufanikiwa kufungana na kutoka sare ya 1-1.

_MG_4115

Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na vijana wa timu ya Kikwajuni Juu

_MG_4120Waziri wa Afya Mhe Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana na vijana wa timu ya Kisimamajongoo

_MG_4127

Timu ya Kisimamajongo wakiwa katika picha ya pamoja

_MG_4130Timu ya Kikwajuni Juu wakiwa katika picha ya pamoja

_MG_4141

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi na mbunge wa jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni akiwa na Mwakilishi wa jimbo la Kikwajuni Mhe. Jazeera

_MG_4157 _MG_4164