Picha: Mbio za Mwenge wa Uhuru wazindua mradi wa barabara Jimbo la Mpendae

0

Mbio za mwenge wa Uhuru ambazo zinazoongozwa na Kiongozi  wa mbio hizo Ndg. George Jackson visiwani Zanzibar, wilaya ya Mjini na jana zilifikia katika jimbo la Mpendae ambapo mbunge wa jimbo hilo Mhe. Salim Turky alizindua mradi wa barabara katika jimbo hilo.

1 2 3 5 6 7 8 9 10 11 12