Picha: Mashindano ya wazi ya kuogelea yafanyika Zanzibar

0

Shule ya Zanzibar International School iliyopo Zanzibar jana Oktoba 11 ilikuwa ndio mwenyeji wa mashindano ya wazi ya kuogelea Tanzania.

Mashindano hayo yalijumuisha shule mbali mbali kutoka Tanzania ambapo muogeleaji Natalie Sanford Charlotte mwenye umri wa miaka tisa kutoka Morogoro International School kuwaongoza wenzake baada ya kushiriki michezo nane katika mashindano hayo na kunyakuwa medali sita za dhahabu na mbili za fedha na kuwa mshindi wa kwanza kwa upande wa watoto.

Angalia picha za matukio hayo.

07

01 02 03 04 05

06