Categories
E! News

Picha: Man Chado ashoot video ya ‘Kwa ajili ya wana’ na Juma Nature

Rapa kutokea lebo ya Mandevu Records, Man Chado hivi karibuni alionekana akishoot video ya wimbo wake mpya ‘kwa ajili ya wana’ akiwa amemshirikisha Juma Nature ambae pia katika video hiyo kashiriki.

Akizungumza na Zenji255 Man Chado amesema kuwa video hiyo itakuwa ya kwanza kwa kipindi cha miaka 10 bila ya kufanya muziki kwa muda mrefu. Mpaka sasa haijajulikana ni director gani aliyesimamia video hiyo.

“Hatuwezi kumtaja director nani aliyesimamia tunataka iwe suprise kwa kila mtu sio mashabiki peke yake ila maeneo tuliyotumia kwenye video na ya hapa hapa nyumbani Zanzibar” Amesema Man Chado.

Angalia picha za baadhi ya matukio ya maandalizi ya video hizo.

This slideshow requires JavaScript.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.