Picha: Harakati za mwezi wa Ramadhani katika soko la Darajani

0

Wakati tukiwa katika kumi la mwanzo la mwezi mtukufu wa Ramadhani, wananchi huwa katika pirika pirika za kutafuta mahitaji yao ya vyakula kwa ajili ya futari. Zenji255 ilipita kwenye soko la Darajani, Zanzibar nakuona harakati za wananchi wakijipatia futari katika Sokoni hapo.

7 8 9 10

Picha kwa Hisani ya: Zanzinews