(Picha): Diamond na Mafikizolo katika Tamasha la Vodacom Chuo Kikuu Dodoma

0

Kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz wameiachia burudani ya nguvu katika Tamasha lililoandaliwa na Mtandao wa Vodacom Jana May 12, lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma, Show hiyo iliyopewa jina la ‘Colors of Afrika’.

1 2 3 4 5