Picha: Bomoa Bomoa Katika maduka ya makontena maeneo ya Darajani Zanzibar

0

Katika harakati za mitaani Zenji255 ilipita katika mitaa ya Darajani ambapo iliwakuta wafanyabiashara waliokuwa wakiuza maduka ya makontena, wakibomoa maduka baada ya agizo la serikali ili kuweza kupisha ujenzi au shughuli nyingine za kiserikali kuendelea.

k1 k2 k3 k4 k5 k6 k7 k8 k9 k10

Picha na: Zanzinews