Peter wa P-Square awaomba radhi mashabiki wao na kuwataka wakae tayari kwa P-Square kurudi

0

Katika hali ya kushangaza kabisa kupitia mtandao wa Instagram. Msanii anaeunda kundi la P-Square kutokea Nigeria, Peter Okoye amefunguka leo kwa kuwaomba mashabiki wake msamaha kutokana na mambo aliyoyasababisha mpaka akawa haelewani na familia yake.

peter

Ikumbukwe kwamba miezi ya nyuma ndugu hawa wawili waligombana na kurushiana maneno kwenye mitandao ambapo chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Peter kuwa na mashaka na meneja wao Jude Okoye na kufanya mashabiki wao kukaa na maswali ya kutaka kujua mwisho wake utakuwaje.

“Kwa mashabiki wetu napenda niwaambie kuwa tumesuluhisha matatizo yaliyotokea miezi michache iliyopita na tunaomba msamaha kwenu. Ninachukua dhamana nzima ya kila tatizo lililotokea na ninawaahidi kwamba hayatotokea tena” Alisema Peter.

Angalia Alichokisema Peter kupitia akaunti yake Instagram

View this post on Instagram

My dear fans, P-Square is back. Ours is a journey that started from our mother’s womb. It was a journey that started from Primary School, continued to St. Murumba College, to when we were in University in Abuja. It was a journey in which we shared childhood memories and grown-up dreams. We are back because brothers do not let each other wander in the dark alone. We are back because we have tried the lonely road and it was not the same. I want to take responsibility for what has happened and sincerely apologise to you our fans. For supporting us throughout this journey we owed you so much more than what you have had to endure and I apologise for that. We are embarking now on a new journey with exciting new management (Jude Okoye), new music and new ideas. We cannot thank you enough for all your prayers and support throughout this difficult period. Maya Angelou once said that brotherhood is a condition that people have to work at. We will continue to work on that and you can be prepared to be blown away by this new phase of P-Square. God bless you all and be assured that you have not seen anything yet! Peter Okoye P-Square

A post shared by Mr P (@peterpsquare) on