Forbes wataja orodha ya wasanii wanaoingiza pesa kwa mwaka 2017

0

Mtandao mkubwa duniani wa kuangalia watu maarufu duniani forbes imetoa orodha ya wasani wanao ingiza mkwanja mrefu duniani kwa mwaka 2017.

Zenji255 imekuekea orodha hiyo ya wasanii 20 wanao ingiza pesa nyingi wa kwanza ni Diddy ambae amekuwa anashikilia kidedea kwa awamu ya pili. Diddy mkwanja wake umeingia ni kutokana na tour zake pamoja na vinywaji, biashara za nguo. Drake ameingia katika nafasi ya pili kwa kuingiza mkwanja mkubwa kutokana na tour zake na deal alizozipata.

Hii Hapa ni orodha nzima ya wasanii katika mtandao wa Forbes

 1. P. Diddy – $130M
 2. Drake – $94M
 3. Jay-Z – $42M
 4. Dr. Dre – $34.5M
 5. Chance the Rapper – $33M
 6. Kendrick Lamar – $30M
 7. Wiz Khalifa – $28M
 8. Pitbull – $27M
 9. DJ Khaled – $24M
 10. Future – $23M
 11. Kanye West – $22M
 12. Birdman – $20M
 13. J. Cole – $19M
 14. Swizz Beatz – $18M
 15. Snoop Dogg – $16.5M
 16. Nicki Minaj – $16M
 17. Lil Wayne – $15.5M
 18. Macklemore & Ryan Lewis – $11.5M
 19. Rick Ross (tie) – $11.5M
 20. Lil Yachty – $11M