‘Nimejitahidi sana kuutangaza muziki wangu Bongo’ – Pozi Adim

0

Msanii Pozi Adim amesema kutokana na mapenzi mazuri ya mashabiki kumemfanya afike mbali kiasi kwamba mpaka Dar es salama sasa muziki wake unafanya vizuri.

pozi adim

Akiongea na Zenji255 Pozi anasema “Ninamshukuru mungu mpaka hapa nilipofikia si hatua ndogo na kwa sasa ninajitahidi sana kufanya kila niwezalo muziki wangu uendelee kufanya vizuri bongo na ninamshukuru Tawaqal ambaye ananisaidia kunipigania muziki wangu ufanye Bongo”.

Akizungumzia kuhusu ukimya wake baada ya wimbo wa msobe msobe Pozi alisema kuwa kwa sasa anajiandaa kuachia wimbo aliomshirikisha Sultan King unaitwa ‘Maria’ hivi karibuni.