New Video: Zasha Swaggon – Run Town

0

Msanii anayefanya Hip Hop Zasha Swaggon kutoka Iringa, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘RUN TOWN’. Video imeongozwa na Director Shama Kilasi.

Angalia hapa na utoe maoni yako