New Video: Wiz D ft. Alpha – Fly Girl

0

Msanii wa muziki Wiz D ameachia video yake mpya ‘Fly Girl’ akiwa amemshirikisha Alpha wa Melody. Video imetayarishwa na 5D Production.

Angalia hapa na utoe maoni yako.