New Video: Wigo ft. Pozza Boy – Mapenzi sio Bahati

1

Video ya wimbo mpya kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Wigo Fleva. Wimbo unaitwa “Mapenzi sio Bahati” akiwa amemshirikisha Pozza Boy. Video imetayarishwa na director SDK.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.