New Video: Turufu ft. Chabi 6 – Hakuna Matata

0

Msanii wa muziki Turufu ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa “Hakuna Matata” akiwa amemshirikisha rapa Chabi 6. Video imetayarishwa na kampuni ya Next Revolution Production.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako