New Video: Triple R & Z – Mom & Daddy

0

Vipaji vipya kutoka kwa vijana wadogo wanaojiita Triple R & Z wameachia video ya wimbo wao mpya unaitwa “Mom & Daddy”. Video imetayarishwa na director Eddy.

Angalia video ya wimbo huo na utoe maoni yako