New Video: Tiwa Savage ft Busy Signal – Key to the City Remix

0

Kwako unaefatilia muziki wa Afrika, kwako unaependa kujua matokeo ya pale mastaa wawili wakubwa wa muziki kutoka kwenye nchi mbili tofauti wanapokutana inakuaje, hapa ni Tiwa Savage wa Nigeria na Busy Signal wa Jamaica.