New Video: Tekno – Diana

0

Wakati bado Pana inafanya vizuri, msanii wa Nigeria, Tekno ameachia mashine nyingine tena iitwayo Diana. Video hii imefanyika kwenye daraja liitwalo Charles la jijini Prague, Czech Republic.