New Video: T.I.P King – Last Kush

0

T.I.P King anakuletea video ya wimbo wake mpya unaitwa “Last Kush” Kama bado hujaupata wimbo wake bonyeza hapa kuupata. Video imetayarishwa na director One Shot.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako