New Video: Super Boy Alfa – Moto

0

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Super Boy Alfa, ameachia video ya wimbo wake mpya “Moto”. Video imetayarishwa na director Modi Peru.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako.