New Video: Sugu – Freedom

0

Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) ambaye ni Mbunge wa Mbeya mjini ni msanii wa kitambo wa hiphop baada ya kimya kirefu kwenye bongo fleva, ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya MJ Records video imeongozwa na Hanscana