New Video: Stone Town Cypher – Fight Against Drug Abuse

0

Lebo ya Stone Town Records imeachia video yao ya kwanza ambayo inazungumzia kuhusu vita dhidi ya madawa ya kulevya. Wimbo unaitwa “Fight Against Drug Abuse / Vita dhidi ya madawa ya kulevya”.

Angalia video hapo chini na utoe maoni yako.