New Video: Siti & The Band – Nielewe

0

Tayari umeshausikia wimbo wao mpya? kama bado bonyeza hapa. Hii hapa video ya wimbo huo mpya kutoka kwa Siti & The Band unaitwa “Nielewe”. Video imetayarishwa na director Pablo.

Angalia video hiyo na utoe maoni yako