New Video: Shetta – Namjua

0

Utakuwa umeshaona kava zilizoenea kwenye mitandao mbalimbali ambazo zinaashiria ujio wa video ya single mpya ya Shetta iitwayo ‘Namjua’.

Sasa leo Mei 6, 2016 msanii huyo ameachia rasmi video hiyo mpya iliyotayarishwa na director Nic Roux aliyehusika kwenye utengenezaji wa video kadhaa ikiwemo ya AKA ft Diamond Platnumz – Make me sing, Harmonize ft Diamond Platnumz – Bado na video ya kundi la Mavins ‘Dorobucci’.