New Video: Seyi Shay ft. Olamide – Pack and Go

0

Msanii kutoka Nigeria Seyi Shay ametoa video yake mpya ya wimbo “Pack and Go” amemshirikisha Olamide wimbo huu upo katika album ya “Seyi or Shay”, Video imetayarishwa na Meji Alabi wa J Films mjini Lagos.