New Video: Sauti Sol ft. Mi casa – Tulale fofofo

0

Baada ya collabo waliyoifanya na staa kutoka Tanzania Alikiba leo April 26 2016 Sauti Sol wanatualika tena kwenye hii Video ya ngoma yao mpya ya ‘Tulale Fofofo’ waliofanya na Mi casa kutokea South Africa.