New Video: Salute – Saula

0

Msanii wa  muziki kutoka visiwani Zanzibar, Salute ameachia video ya wimbo mpya “Saula”. Video imetayarishwa na director Khalfan.